Kiongozi wa msafara huo Prof. Hussein Mahamoud, am...

Kiongozi wa msafara huo Prof. Hussein Mahamoud, amesema, Chuo cha USIU - Africa kitakuwa Balozi wa kutangaza na kuhamasisha uhifadhi wa historia ya ukombozi wa Bara la Afrika

3 Agosti, 2026
Kiongozi wa msafara huo Prof. Hussein Mahamoud, amesema, Chuo cha USIU - Africa kitakuwa Balozi wa kutangaza na kuhamasisha uhifadhi wa historia ya ukombozi wa Bara la Afrika

Kiongozi wa msafara huo Prof. Hussein Mahamoud, amesema, Chuo cha USIU - Africa kitakuwa Balozi wa kutangaza na kuhamasisha uhifadhi wa historia ya ukombozi wa Bara la Afrika na kuhamasisha wadau na wanafunzi wa kada za historia kuja kujionea na kujifunza uhifadhi wa historia ya ukombozi nchini Tanzania.

Kituo kinaendelea kushibisha vijana hususani wanafunzi wa rika mbalimbali wenye njaa na kiu ya kuifahamu historia ya Afrika. Aidha, kinaendelea kuwakaribisha watu mbalimbali kutembelea na kuja kujifunza historia hii adhimu iliyohifadhiwa katika makavazi ya Kituo.

lbl_need_any_help