Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha USIU-AFRICA kutokea nc...

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha USIU-AFRICA kutokea nchini Kenya wakipongeza Kituo kwa jitihada za kuhifadhi kumbukumbu za historia ya Afrika

3 Agosti, 2026
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha USIU-AFRICA kutokea nchini Kenya wakipongeza Kituo kwa jitihada za kuhifadhi kumbukumbu za historia ya Afrika

Kituo kimetembelewa na wanafunzi wa chuo kikuu cha United States International University - Africa (USIU - Africa) kutokea nchini Kenya kwa lengo la kujifunza na kuona namna ambavyo historia ilivyohifadhiwa katika makumbusho na maktaba.

Wakiongea kwa nyakati tofauti wanafunzi hao wapatao 71 wamesema, Tanzania imepiga hatua kubwa katika utunzaji wa kumbukumbu za historia ya ukombozi wa mataifa ya Afrika na kuzitaka nchi jirani hasa za Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika kuja kujifunza na kuona historia hiyo ilivyohifadhiwa na namna inavyorithishwa katika jamii.

lbl_need_any_help