Nyumba ya Samora (Kijiji cha Iyera) | Mbeya

Nyumba ya Samora (Kijiji cha Iyera) | Mbeya

Tanzania
Nyumba ya Samora (Kijiji cha Iyera) | Mbeya

Nyumba ya Samora ilijengwa na wapigania uhuru wa FRELIMO kwa madhumuni ya kufikia kiongozi wao Samora Machel.

Ipo katika:-

Kijiji cha Iyera

Kata ya Iyera

Tarafa ya Iyunga

Halmashauri ya Jiji la Mbeya

Ipo kilomita 2.4 kutoka barabara kuu ya lami iendayo Tunduma

lbl_need_any_help